Lamentations 3:64
Uwalipe kile wanachostahili, Ee Bwana, 2 kwa yale ambayo mikono yao imetenda. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Render unto them a recompence, O LORD, according to the work of their hands.
In Context
63Watazame! Wakiwa wameketi au wamesimama, 2 wananidhihaki katika nyimbo zao. 1
65Weka pazia juu ya mioyo yao, 2 laana yako na iwe juu yao! 1
Cross References
Psalms 28:4Walipe sawasawa na matendo yao, 2 sawasawa na matendo yao maovu; 1 walipe sawasawa na kazi za mikono yao, 2 uwalipe wanavyostahili. 1
Jeremiah 15:15Wewe unafahamu, Ee Bwana, 2 unikumbuke na unitunze mimi. 2 Lipiza kisasi juu ya watesi wangu. 1 Kwa uvumilivu wako usiniondolee mbali; 2 kumbuka jinsi ninavyoshutumiwa. 1
Jeremiah 51:56Mharabu atakuja dhidi ya Babeli, 2 mashujaa wake watakamatwa, 2 nazo pinde zao zitavunjwa. 1 Kwa kuwa Bwana ni Mungu wa kisasi, 2 yeye atalipiza kikamilifu. 1
Revelation 6:10Wakalia kwa sauti kuu, wakisema, “Hata lini, Ee Bwana Mwenyezi, uliye mtakatifu na mwaminifu, hutawahukumu na kulipiza kisasi juu ya watu waishio duniani kwa ajili ya damu yetu?”