Lamentations 3:65
Weka pazia juu ya mioyo yao, 2 laana yako na iwe juu yao! 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Give them sorrow of heart, thy curse unto them.
In Context
64Uwalipe kile wanachostahili, Ee Bwana, 2 kwa yale ambayo mikono yao imetenda. 1
66Wafuatilie katika hasira na uwaangamize 2 kutoka chini ya mbingu za Bwana.
Cross References
Deuteronomy 2:30Lakini Sihoni mfalme wa Heshboni alikataa kuturuhusu kupita. Kwa kuwa Bwana Mungu wako alikuwa ameifanya roho yake kuwa ngumu na moyo wake kuwa mkaidi ili amweke kwenye mikono yenu, kama alivyofanya sasa.
Psalms 109:17Alipenda kulaani, 2 nayo laana ikampata; 1 hakupenda kubariki, 2 kwa hiyo baraka na ikae mbali naye. 1
1 Corinthians 16:22Kama mtu yeyote hampendi Bwana Yesu Kristo, na alaaniwe. Bwana wetu, njoo. + 16:22 Kwa Kiaramu ni Marana tha.