Maombolezo 3:66
Wafuatilie katika hasira na uwaangamize 2 kutoka chini ya mbingu za Bwana.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Persecute and destroy them in anger from under the heavens of the LORD.
In Context
65Weka pazia juu ya mioyo yao, 2 laana yako na iwe juu yao! 1
Cross References
Deuteronomy 25:19Bwana Mungu wako atakapokupa pumziko mbali na adui zako wote wanaokuzunguka katika nchi akupayo kuimiliki kuwa urithi, utafutilia mbali kumbukumbu lote la Waamaleki chini ya mbingu. Usisahau!
2 Kings 14:27Kwa kuwa Bwana alikuwa hajasema kuwa atafuta jina la Israeli chini ya mbingu, akawaokoa kwa mkono wa Yeroboamu mwana wa Yehoashi.
Psalms 35:5Wawe kama makapi yapeperushwayo na upepo, 2 malaika wa Bwana akiwafukuza. 1
Psalms 73:15Kama ningesema, “Nitasema hivi,” 2 ningelikuwa nimewasaliti watoto wako. 1
Isaiah 66:1Hili ndilo asemalo Bwana, 1 “Mbingu ni kiti changu cha enzi, 2 nayo dunia ni mahali pa kuweka miguu yangu. 1 Iko wapi nyumba mtakayoijenga kwa ajili yangu? 2 Mahali pangu pa kupumzikia patakuwa wapi? 1
Jeremiah 15:15Wewe unafahamu, Ee Bwana, 2 unikumbuke na unitunze mimi. 2 Lipiza kisasi juu ya watesi wangu. 1 Kwa uvumilivu wako usiniondolee mbali; 2 kumbuka jinsi ninavyoshutumiwa. 1