bible.software › Maombolezo › Maombolezo 4 › Maombolezo 4:12
Maombolezo 4:12
Wafalme wa dunia hawakuamini, 2 wala mtu yeyote wa duniani, 1 kwamba adui na watesi wangeweza kuingia 2 kwenye malango ya Yerusalemu. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
The kings of the earth, and all the inhabitants of the world, would not have believed that the adversary and the enemy should have entered into the gates of Jerusalem.
In Context
11Bwana ametoa nafasi kamilifu ya ghadhabu yake; 2 ameimwaga hasira yake kali. 1 Amewasha moto katika Sayuni 2 ambao umeteketeza misingi yake. 1
13Lakini hili lilitokea kwa sababu ya dhambi za manabii wake, 2 na maovu ya makuhani wake, 1 waliomwaga ndani yake 2 damu ya wenye haki. 1
Read all of Maombolezo 4
Cross References
1 Kings 9:8Ingawa hekalu hili linavutia sasa, wote watakaolipita watashangaa na kudhihaki wakisema, ‘Kwa nini Bwana amefanya kitu kama hiki katika nchi hii na kwa Hekalu hili?’
Psalms 48:4Wakati wafalme walipounganisha nguvu, 2 waliposonga mbele pamoja, 1
This Verse In Other Editions
Study Maombolezo 4:12