Maombolezo 5:12
Wakuu wametungikwa juu kwa mikono yao, 2 wazee hawapewi heshima. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Princes are hanged up by their hand: the faces of elders were not honoured.
In Context
11Wanawake wametendwa jeuri katika Sayuni, 2 na mabikira katika miji ya Yuda. 1
13Vijana wanataabika kwenye mawe ya kusagia, 2 wavulana wanayumbayumba chini ya mizigo ya kuni. 1
Cross References
Isaiah 47:6Niliwakasirikia watu wangu 2 na kuaibisha urithi wangu; 1 niliwatia mikononi mwako, 2 nawe hukuwaonea huruma. 1 Hata juu ya wazee 2 uliweka nira nzito sana. 1
Jeremiah 52:10Huko Ribla mfalme wa Babeli aliwachinja wana wa Sedekia mbele ya macho yake. Pia akawaua maafisa wote wa Yuda.
Lamentations 2:10Wazee wa Binti Sayuni 2 wanaketi chini kimya, 1 wamenyunyiza mavumbi kwenye vichwa vyao 2 na kuvaa nguo za gunia. 1 Wanawali wa Yerusalemu 2 wamesujudu hadi ardhini. 1
Lamentations 4:16Bwana mwenyewe amewatawanya; 2 hawaangalii tena. 1 Makuhani hawaonyeshwi heshima, 2 wazee hawakubaliki. 1