Maombolezo 5:11
Wanawake wametendwa jeuri katika Sayuni, 2 na mabikira katika miji ya Yuda. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
They ravished the women in Zion, and the maids in the cities of Judah.
In Context
10Ngozi yetu ina joto kama tanuru, 2 kwa sababu ya fadhaa itokanayo na njaa. 1
12Wakuu wametungikwa juu kwa mikono yao, 2 wazee hawapewi heshima. 1
Cross References
Isaiah 13:16Watoto wao wachanga watavunjwa vipande vipande 2 mbele ya macho yao; 1 nyumba zao zitatekwa 2 na wake zao watatendwa jeuri. 1