Maombolezo 5:15
Furaha imeondoka mioyoni mwetu, 2 kucheza kwetu kumegeuka maombolezo. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
The joy of our heart is ceased; our dance is turned into mourning.
In Context
14Wazee wameondoka langoni la mji, 2 vijana wameacha kuimba nyimbo zao. 1
16Taji imeanguka kutoka kichwani petu. 2 Ole wetu, kwa maana tumetenda dhambi! 1
Cross References
Job 30:31Kinubi changu kimegeuka kuwa maombolezo, 2 nayo filimbi yangu imekuwa sauti ya kilio.
Jeremiah 25:10Nitawaondolea sauti ya shangwe na furaha, sauti ya bibi na bwana arusi, sauti ya mawe ya kusagia, na mwanga wa taa.
Amos 8:10Nitageuza sikukuu zenu za kidini kuwa maombolezo, 2 na kuimba kwenu kote kuwe kilio. 1 Nitawafanya ninyi nyote mvae nguo ya gunia 2 na kunyoa nywele zenu. 1 Nitaufanya wakati ule uwe kama wa kuombolezea mwana wa pekee, 2 na mwisho wake kama siku ya uchungu. 1