Maombolezo 5:14
Wazee wameondoka langoni la mji, 2 vijana wameacha kuimba nyimbo zao. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
The elders have ceased from the gate, the young men from their musick.
In Context
13Vijana wanataabika kwenye mawe ya kusagia, 2 wavulana wanayumbayumba chini ya mizigo ya kuni. 1
15Furaha imeondoka mioyoni mwetu, 2 kucheza kwetu kumegeuka maombolezo. 1
Cross References
Job 29:7“Wakati nilipokwenda kwenye lango la mji 2 na kuketi katika kiwanja, 1
Job 30:31Kinubi changu kimegeuka kuwa maombolezo, 2 nayo filimbi yangu imekuwa sauti ya kilio.
Isaiah 24:7Divai mpya inakauka na mzabibu unanyauka, 2 watu wote wafurahishao wanalia kwa huzuni. 1
Jeremiah 16:9Kwa kuwa hili ndilo asemalo Bwana Mwenye Nguvu Zote, aliye Mungu wa Israeli: ‘Mbele ya macho yako na katika siku zako, nitakomesha sauti zote za shangwe na za furaha, na pia sauti za bibi arusi na bwana arusi mahali hapa.’
Lamentations 1:4Barabara zielekeazo Sayuni zaomboleza, 2 kwa kuwa hakuna yeyote anayekuja 2 kwenye sikukuu zake zilizoamriwa. 1 Malango yake yote yamekuwa ukiwa, 2 makuhani wake wanalia kwa uchungu, 1 wanawali wake wanahuzunika, 2 naye yuko katika uchungu wa maumivu makuu. 1
Lamentations 2:10Wazee wa Binti Sayuni 2 wanaketi chini kimya, 1 wamenyunyiza mavumbi kwenye vichwa vyao 2 na kuvaa nguo za gunia. 1 Wanawali wa Yerusalemu 2 wamesujudu hadi ardhini. 1