Maombolezo 5:18
kwa ajili ya Mlima Sayuni, ambao unakaa ukiwa, 2 nao mbweha wanatembea juu yake. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Because of the mountain of Zion, which is desolate, the foxes walk upon it.
In Context
17Kwa sababu hiyo, mioyo yetu inazimia, 2 kwa sababu ya hayo, macho yetu yamefifia, 1
19Wewe, Ee Bwana unatawala milele, 2 kiti chako cha enzi chadumu kizazi hadi kizazi. 1
Cross References
1 Kings 9:7basi nitakatilia mbali Israeli kutoka nchi niliyowapa, nami nitalikataa Hekalu hili nililolitakasa kwa ajili ya Jina langu. Ndipo Israeli itakuwa kitu cha kudharauliwa na watu na kuwa kitu cha kudhihakiwa miongoni mwa watu wote.
Psalms 74:2Kumbuka watu uliowanunua zamani, 2 kabila la urithi wako, ambao uliwakomboa: 2 Mlima Sayuni, ambamo uliishi. 1
Isaiah 64:9Ee Bwana, usikasirike kupita kiasi, 2 usizikumbuke dhambi zetu milele. 1 Ee Bwana, utuangalie, twakuomba, 2 kwa kuwa sisi sote tu watu wako. 1
Jeremiah 9:11“Nitaifanya Yerusalemu lundo la magofu, 2 makao ya mbweha; 1 nami nitaifanya miji ya Yuda kuwa ukiwa 2 ili asiwepo atakayeishi humo.”
Jeremiah 26:9Kwa nini unatoa unabii katika jina la Bwana kwamba nyumba hii itakuwa kama Shilo na mji huu utakuwa ukiwa na kuachwa tupu?” Nao watu wote wakamkusanyikia na kumzunguka Yeremia ndani ya nyumba ya Bwana.
Jeremiah 44:6Kwa hiyo hasira yangu kali ilimwagika, ikawaka dhidi ya miji ya Yuda na barabara za Yerusalemu, na kuifanya ukiwa na magofu kama ilivyo leo.