The Bible Software
bible.softwareLamentationsLamentations 5 › Lamentations 5:7

Lamentations 5:7

Baba zetu walitenda dhambi na hawapo tena, 2 na sisi tunachukua adhabu yao. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Our fathers have sinned, and are not; and we have borne their iniquities.

In Context

6Tumejitolea kwa Misri na Ashuru 2 tupate chakula cha kutosha. 1

8Watumwa wanatutawala 2 na hakuna wa kutuokoa mikononi yao. 1

Read all of Lamentations 5

Cross References

Genesis 42:36Yakobo baba yao akawaambia, “Ninyi mmenipokonya watoto wangu. Yosefu hayupo na Simeoni hayupo tena na sasa mnataka kumchukua Benyamini. Kila kitu ni kinyume nami!”

Numbers 14:18‘ Bwana si mwepesi wa hasira, ni mwingi wa upendo na mwenye kusamehe dhambi na uasi. Lakini haachi kumwadhibu mwenye hatia, huadhibu watoto kwa ajili ya dhambi ya baba zao hata kizazi cha tatu na cha nne.’

Job 7:21Kwa nini husamehi makosa yangu 2 na kuachilia dhambi zangu? 1 Kwa kuwa hivi karibuni nitalala mavumbini; 2 nawe utanitafuta, wala sitakuwepo.”

Jeremiah 16:11Basi waambie, ‘Ni kwa sababu baba zenu waliniacha mimi, wakafuata miungu mingine ili kuitumikia na kuiabudu. Waliniacha mimi na hawakuishika sheria yangu,’ asema Bwana.

Jeremiah 31:15Hili ndilo asemalo Bwana: 1 “Sauti imesikika huko Rama, 2 maombolezo na kilio kikubwa, 1 Raheli akiwalilia watoto wake 2 na anakataa kufarijiwa, 2 kwa sababu watoto wake hawako tena.”

Ezekiel 16:58Utachukua matokeo ya uasherati wako na matendo yako ya kuchukiza, asema Bwana.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Lamentations 5:7

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Lamentations 5:6Lamentations 5Lamentations 5:8 →