Maombolezo 5:8
Watumwa wanatutawala 2 na hakuna wa kutuokoa mikononi yao. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Servants have ruled over us: there is none that doth deliver us out of their hand.
In Context
7Baba zetu walitenda dhambi na hawapo tena, 2 na sisi tunachukua adhabu yao. 1
9Tunapata chakula chetu kwa kuhatarisha maisha yetu 2 kwa sababu ya upanga jangwani. 1
Cross References
Genesis 9:25akasema, 1 “Alaaniwe Kanaani! 2 Atakuwa mtumwa wa chini sana 2 kuliko watumwa wote kwa ndugu zake.”
Nehemiah 2:19Lakini Sanbalati Mhoroni, Tobia afisa Mwamoni, na Geshemu Mwarabu waliposikia kuhusu jambo hili, walitudhihaki na kutucheka. Wakauliza, “Ni nini hiki mnachokifanya? Je, mnaasi dhidi ya mfalme?”
Job 5:4Watoto wake wako mbali na usalama, 2 hushindwa mahakamani bila mtetezi. 1
Psalms 7:2la sivyo watanirarua kama simba 2 na kunichana vipande vipande, asiwepo wa kuniokoa. 1
Proverbs 30:22Mtumwa awapo mfalme, 2 mpumbavu ashibapo chakula, 1
Hosea 2:10Basi sasa nitaufunua ufisadi wake 2 mbele ya wapenzi wake; 1 hakuna yeyote atakayemtoa 2 mikononi mwangu. 1