The Bible Software
bible.softwareMaombolezoMaombolezo 5 › Maombolezo 5:9

Maombolezo 5:9

Tunapata chakula chetu kwa kuhatarisha maisha yetu 2 kwa sababu ya upanga jangwani. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

We gat our bread with the peril of our lives because of the sword of the wilderness.

In Context

8Watumwa wanatutawala 2 na hakuna wa kutuokoa mikononi yao. 1

10Ngozi yetu ina joto kama tanuru, 2 kwa sababu ya fadhaa itokanayo na njaa. 1

Read all of Maombolezo 5

Cross References

Judges 6:11Malaika wa Bwana akaja akaketi chini ya mti wa mwaloni huko Ofra, ambao ulikuwa mali ya Yoashi, Mwabiezeri, ambako Gideoni mwanawe alikuwa akipepeta ngano penye shinikizo la kukamulia zabibu, ili kuificha Wamidiani wasiione.

Jeremiah 40:9Gedalia mwana wa Ahikamu mwana wa Shafani akaapa ili kuwatia moyo wao na watu wao. Akasema: “Msiogope kuwatumikia Wakaldayo. Kaeni katika nchi na kumtumikia mfalme wa Babeli, na itakuwa vyema kwenu.

Jeremiah 41:18ili kuwatoroka Wakaldayo. Waliwaogopa kwa sababu Ishmaeli mwana wa Nethania alikuwa amemuua Gedalia mwana wa Ahikamu, ambaye alikuwa amewekwa na mfalme wa Babeli kuwa mtawala wa nchi.

Jeremiah 42:16basi ule upanga mnaouogopa utawapata huko, na njaa mnayoihofia itawafuata huko Misri, nanyi mtafia huko.

Ezekiel 12:18“Mwanadamu, tetemeka wakati ulapo chakula chako, tetemeka kwa hofu wakati unywapo maji yako.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Maombolezo 5:9

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Maombolezo 5:8Maombolezo 5Maombolezo 5:10 →