Maombolezo 5:10
Ngozi yetu ina joto kama tanuru, 2 kwa sababu ya fadhaa itokanayo na njaa. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Our skin was black like an oven because of the terrible famine.
In Context
9Tunapata chakula chetu kwa kuhatarisha maisha yetu 2 kwa sababu ya upanga jangwani. 1
11Wanawake wametendwa jeuri katika Sayuni, 2 na mabikira katika miji ya Yuda. 1
Cross References
Psalms 119:83Ingawa nimekuwa kama kiriba kwenye moshi, 2 bado sijasahau maagizo yako. 1
Lamentations 4:8Lakini sasa ni weusi kuliko masizi; 2 hawatambulikani barabarani. 1 Ngozi yao imeshikamana juu ya mifupa yao, 2 imekuwa mikavu kama fimbo. 1