The Bible Software
bible.softwareLeviticusLeviticus 11 › Leviticus 11:5

Leviticus 11:5

Pelele ingawa hucheua hana kwato zilizogawanyika; huyo ni najisi kwenu.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And the coney, because he cheweth the cud, but divideth not the hoof; he is unclean unto you.

In Context

4“ ‘Kuna wanyama wengine ambao hucheua tu au wenye kwato zilizogawanyika tu, lakini hao kamwe msiwale. Ngamia ingawa hucheua hana kwato zilizogawanyika; kwa kawaida ya ibada hiyo ni najisi kwenu.

6Sungura ingawa hucheua hana kwato zilizogawanyika; huyo ni najisi kwenu.

Read all of Leviticus 11

Cross References

Psalms 104:18Milima mirefu ni makao ya mbuzi-mwitu, 2 majabali ni kimbilio la pelele. 1

Matthew 7:26Naye kila anayesikia haya maneno yangu wala asiyatende, ni kama mtu mjinga aliyejenga nyumba yake kwenye mchanga.

Philippians 3:18Kwa maana, kama nilivyokwisha kuwaambia mara nyingi kabla, nami sasa nasema tena hata kwa machozi, watu wengi wanaishi kama adui wa msalaba wa Kristo.

Titus 1:16Wanadai kumjua Mungu, lakini kwa matendo yao wanamkana. Hao watu ni chukizo, wasiotii, wasiofaa kwa jambo lolote jema.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Leviticus 11:5

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Leviticus 11:4Leviticus 11Leviticus 11:6 →