Wafilipi 3:18
Kwa maana, kama nilivyokwisha kuwaambia mara nyingi kabla, nami sasa nasema tena hata kwa machozi, watu wengi wanaishi kama adui wa msalaba wa Kristo.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
17Ndugu zangu, kwa pamoja fuateni mfano wangu na kuwatazama wale wanaofuata kielelezo tulichowawekea.
Cross References
Leviticus 11:16mbuni, kiruka-njia, dudumizi, kipanga, shakwe, aina zote za kipanga,
Psalms 119:136Chemchemi za machozi zinatiririka kutoka machoni yangu, 2 kwa kuwa sheria yako haifuatwi. 2 Haki Ya Sheria Ya Bwana 1
Jeremiah 9:1Laiti kichwa changu kingekuwa chemchemi ya maji 2 na macho yangu yangekuwa kisima cha machozi! 1 Ningelia usiku na mchana 2 kwa kuuawa kwa watu wangu. 1
Daniel 4:37Basi mimi, Nebukadneza, humhimidi, na humtukuza na kumsifu Mfalme wa mbinguni, kwa sababu kila kitu afanyacho ni haki, na njia zake zote ni adili. Nao waendao kwa kiburi anaweza kuwashusha.
Acts 20:19Nilimtumikia Bwana kwa unyenyekevu wote na kwa machozi nikivumilia taabu na mapingamizi yaliyonipata kutokana na hila za Wayahudi.
Romans 9:2Nina huzuni kuu na uchungu usiokoma moyoni mwangu.