Walawi 11:8
Kamwe msile nyama yao wala kugusa mizoga yao; wao ni najisi kwenu.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Of their flesh shall ye not eat, and their carcase shall ye not touch; they are unclean to you.
In Context
7Naye nguruwe ingawa anazo kwato zilizogawanyika sehemu mbili, hacheui; huyo ni najisi kwenu.
Cross References
Leviticus 5:2“ ‘Au kama mtu akigusa kitu chochote ambacho ni najisi, iwe ni mizoga ya wanyama pori walio najisi, au ya wanyama wafugwao walio najisi, au ya viumbe vitambaavyo ardhini, hata akiwa hana habari, amekuwa najisi na mwenye hatia.
Hosea 9:3Hawataishi katika nchi ya Bwana, 2 Efraimu atarudi Misri 1 na atakula chakula 2 kilicho najisi huko Ashuru. 1
Matthew 15:20Haya ndiyo yamtiayo mtu unajisi; lakini kula bila kunawa mikono hakumtii mtu unajisi.” 1 Imani Ya Mwanamke Mkanaani (Marko 7:24-30)
Mark 7:15Hakuna kitu kinachomwingia mtu kimtiacho unajisi, lakini kile kimtokacho ndicho kimtiacho unajisi. [
Acts 10:10Alipokuwa akiomba akahisi njaa, akatamani kupata chakula. Lakini wakati walikuwa wakiandaa chakula, akalala usingizi mzito sana.
Acts 15:29Kwamba mjiepushe na vyakula vilivyotolewa sadaka kwa sanamu, na damu, au kula nyama ya mnyama aliyenyongwa, na mjiepushe na uasherati. Mkiyaepuka mambo haya, mtakuwa mmefanya vyema. Kwaherini.