Leviticus 13:39
kuhani atamchunguza, na kama alama hizo zina weupe uliofifia, ni vipele visivyo na madhara vilivyojitokeza kwenye ngozi; mtu huyo ni safi.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
38“Ikiwa mwanaume au mwanamke ana alama nyeupe juu ya ngozi yake,
40“Wakati mwanaume hana nywele naye ana upaa, yeye ni safi.
Cross References
Romans 7:22Kwa maana katika utu wangu wa ndani naifurahia sheria ya Mungu.