Leviticus 13:40
“Wakati mwanaume hana nywele naye ana upaa, yeye ni safi.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And the man whose hair is fallen off his head, he is bald; yet is he clean.
In Context
41Ikiwa hana nywele kwenye ngozi ya kichwa chake, na ana upaa tangu kwenye paji, ni safi.
Cross References
Leviticus 13:41Ikiwa hana nywele kwenye ngozi ya kichwa chake, na ana upaa tangu kwenye paji, ni safi.
Song of Solomon 5:11Kichwa chake ni dhahabu safi kuliko zote, 2 nywele zake ni za mawimbi 2 na ni nyeusi kama kunguru. 1
Amos 8:10Nitageuza sikukuu zenu za kidini kuwa maombolezo, 2 na kuimba kwenu kote kuwe kilio. 1 Nitawafanya ninyi nyote mvae nguo ya gunia 2 na kunyoa nywele zenu. 1 Nitaufanya wakati ule uwe kama wa kuombolezea mwana wa pekee, 2 na mwisho wake kama siku ya uchungu. 1
Romans 6:19Ninasema kwa namna ya kibinadamu kwa sababu ya udhaifu wenu wa hali ya asili. Kama vile mlivyokuwa mkivitoa viungo vya miili yenu kama watumwa wa mambo machafu na uovu uliokuwa ukiongezeka zaidi, hivyo sasa vitoeni viungo vyenu kama watumwa wa haki inayowaelekeza mpate kutakaswa.
Galatians 4:13Ninyi mwajua kwamba ni kwa ajili ya udhaifu wangu niliwahubiria Injili.