Leviticus 16:22
Yule mbuzi atachukua juu yake dhambi zao zote mpaka mahali pasipo na watu; naye yule mtu atamwachia akimbilie jangwani.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Psalms 103:10yeye hatutendei kulingana na dhambi zetu 2 wala hatupatilizi kwa kadiri ya maovu yetu. 1
Isaiah 53:11Baada ya maumivu ya nafsi yake, 2 ataona nuru ya uzima na kuridhika; 1 kwa maarifa yake, mtumishi wangu mwenye haki 2 atawafanya wengi kuwa wenye haki, 2 naye atayachukua maovu yao. 1
Micah 7:19Utatuhurumia tena, 2 utazikanyaga dhambi zetu 2 chini ya nyayo zako, 1 na kutupa maovu yetu yote 2 katika vilindi vya bahari. 1
Galatians 3:13Kristo alitukomboa kutoka laana ya sheria kwa kufanyika laana kwa ajili yetu, kwa maana imeandikwa, “Amelaaniwa yeye aangikwaye juu ya mti.”
1 Peter 2:24Yeye mwenyewe alizichukua dhambi zetu katika mwili wake juu ya mti, ili tufe kwa mambo ya dhambi, bali tupate kuishi katika haki. Kwa kupigwa kwake, ninyi mmeponywa.