Mika 7:19
Utatuhurumia tena, 2 utazikanyaga dhambi zetu 2 chini ya nyayo zako, 1 na kutupa maovu yetu yote 2 katika vilindi vya bahari. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Deuteronomy 30:6Bwana Mungu wako ataitahiri mioyo yenu na mioyo ya wazao wenu ili mweze kumpenda kwa moyo wako wote na kwa roho yako yote ukaishi.
2 Samuel 24:14Daudi akamjibu Gadi, “Nitataabika sana. Afadhali tuangukie mikononi mwa Bwana, kwa maana rehema zake ni kuu, lakini usiniache nianguke mikononi mwa wanadamu.”
Psalms 85:3Uliweka kando ghadhabu yako yote 2 na umegeuka na kuiacha hasira yako kali. 1
Psalms 103:12kama mashariki ilivyo mbali na magharibi, 2 ndivyo Mungu alivyoziweka dhambi zetu mbali nasi. 1
Isaiah 33:24Hakuna yeyote aishiye Sayuni atakayesema, “Mimi ni mgonjwa”; 2 nazo dhambi za wale waishio humo zitasamehewa.
Isaiah 43:25“Mimi, naam mimi, ndimi nizifutaye dhambi zako, 2 kwa ajili yangu mwenyewe, 2 wala sizikumbuki dhambi zako tena. 1