Walawi 23:30
Mtu yeyote atakayefanya kazi siku hiyo nitamwangamiza kutoka miongoni mwa watu wake.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
29Mtu yeyote ambaye hatafunga siku hiyo ni lazima akatiliwe mbali na watu wake.
31Hamtafanya kazi kamwe. Hili litakuwa agizo la kudumu kwa vizazi vijavyo popote mnapoishi.
Cross References
Leviticus 20:3Mimi nitauelekeza uso wangu dhidi ya mtu huyo, nami nitamkatilia mbali na watu wake. Kwa maana kwa kumtoa mmoja wa watoto wake kwa mungu Moleki, amenajisi madhabahu yangu na kulinajisi Jina langu takatifu.
Jeremiah 15:7Nitawapepeta kwa uma wa kupepetea 2 kwenye malango ya miji katika nchi. 1 Nitaleta msiba na maangamizi juu ya watu wangu, 2 kwa maana hawajabadili njia zao. 1
Zephaniah 2:5Ole wenu ninyi ambao mnaishi kando ya bahari, 2 enyi Wakerethi; 1 neno la Bwana liko dhidi yenu, 2 ee Kanaani, nchi ya Wafilisti. 1 “Mimi nitawaangamiza, 2 na hakuna atakayebaki.” 1