Walawi 23:29
Mtu yeyote ambaye hatafunga siku hiyo ni lazima akatiliwe mbali na watu wake.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
30Mtu yeyote atakayefanya kazi siku hiyo nitamwangamiza kutoka miongoni mwa watu wake.
Cross References
Exodus 30:33Mtu yeyote atakayetengeneza manukato kama hayo na yeyote atakayeyamimina juu ya mtu yeyote ambaye si kuhani atakatiliwa mbali na watu wake.’ ” 1 Uvumba
Leviticus 7:21Kama mtu yeyote akigusa kitu kilicho najisi, iwe ni uchafu wa mwanadamu, au mnyama najisi, au kitu chochote kilicho najisi, kitu cha kuchukiza, kisha akala nyama yoyote ya sadaka ya amani iliyotolewa kwa Bwana, mtu huyo ni lazima akatiliwe mbali na watu wake.’ ” 1 Kula Mafuta Na Kunywa Damu Kwakatazwa
Leviticus 23:32Ni Sabato ya mapumziko kwenu ninyi, na lazima mfunge. Tangu jioni ya siku ya tisa ya mwezi hadi jioni inayofuata, mtaishika Sabato yenu.” 1 Sikukuu Ya Vibanda (Hesabu 29:12-40)
Isaiah 22:12Bwana, Bwana Mwenye Nguvu Zote, 2 aliwaita siku ile 1 ili kulia na kuomboleza, 2 kungʼoa nywele zenu na kuvaa nguo ya gunia. 1
Ezekiel 7:16Wale wote watakaopona na kutoroka watakuwa milimani, wakiomboleza kama hua wa mabondeni, kila mmoja kwa sababu ya dhambi zake.