Sefania 2:5
Ole wenu ninyi ambao mnaishi kando ya bahari, 2 enyi Wakerethi; 1 neno la Bwana liko dhidi yenu, 2 ee Kanaani, nchi ya Wafilisti. 1 “Mimi nitawaangamiza, 2 na hakuna atakayebaki.” 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Joshua 13:2“Nchi iliyosalia ni hii: maeneo yote ya Wafilisti na Wageshuri:
Judges 3:3wafalme watano wa Wafilisti, Wakanaani wote, Wasidoni, Wahivi waishio katika milima ya Lebanoni kuanzia Mlima wa Baal-Hermoni hadi Lebo-Hamathi.
Isaiah 14:30Maskini kuliko maskini wote watapata malisho, 2 nao wahitaji watalala salama. 1 Lakini mzizi wako nitauangamiza kwa njaa, 2 nayo njaa itawaua walionusurika. 1
Ezekiel 25:16kwa hiyo hili ndilo Bwana Mwenyezi asemalo: Mimi ninakaribia kuunyoosha mkono wangu dhidi ya Wafilisti, nami nitawakatilia mbali Wakerethi na kuwaangamiza wale waliosalia katika pwani.
Amos 5:1Sikia neno hili, ee nyumba ya Israeli, ombolezo hili ninalifanya kuwahusu ninyi: 1
Zechariah 1:6Je, maneno yangu na amri zangu nilizowaagiza manabii watumishi wangu, hayakuwapata baba zenu?” “Kisha walitubu na kusema, ‘ Bwana Mwenye Nguvu Zote ametutenda sawasawa na njia zetu na matendo yetu yalivyostahili, kama alivyokusudia kufanya.’ ” 1 Maono Ya Kwanza: Mtu Katikati Ya Miti Ya Mihadasi