Walawi 23:32
Ni Sabato ya mapumziko kwenu ninyi, na lazima mfunge. Tangu jioni ya siku ya tisa ya mwezi hadi jioni inayofuata, mtaishika Sabato yenu.” 1 Sikukuu Ya Vibanda (Hesabu 29:12-40)
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
31Hamtafanya kazi kamwe. Hili litakuwa agizo la kudumu kwa vizazi vijavyo popote mnapoishi.
Cross References
Leviticus 16:31Ni Sabato ya mapumziko, na lazima mfunge; ni agizo la kudumu.
Psalms 35:13Lakini walipokuwa wagonjwa, nilivaa nguo ya gunia 2 na nikajinyenyekesha kwa kufunga. 1 Maombi yangu yaliponirudia bila kujibiwa, 2
Psalms 69:10Ninapolia na kufunga, 2 lazima nivumilie matusi. 1
Isaiah 57:15Kwa maana hili ndilo asemalo Aliye juu, yeye aliyeinuliwa sana, 2 yeye aishiye milele, ambaye jina lake ni Mtakatifu: 1 “Ninaishi mimi mahali palipoinuka na patakatifu, 1 lakini pia pamoja na yeye aliye na roho iliyotubu 2 na mwenye roho ya unyenyekevu, 1 ili kuzihuisha roho za wanyenyekevu 2 na kuihuisha mioyo yao waliotubu. 1
Isaiah 58:3Wao husema, ‘Mbona tumefunga, nawe hujaona? 2 Mbona tumejinyenyekeza, nawe huangalii?’ 1 “Lakini katika siku ya kufunga kwenu, mnafanya mnavyotaka 2 na kuwadhulumu wafanyakazi wenu wote. 1
Matthew 5:4Heri wale wanaohuzunika, 2 maana hao watafarijiwa. 1