Walawi 25:18
“ ‘Fuateni amri zangu, mwe waangalifu kutii amri zangu, nanyi mtaishi salama katika nchi.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
17Mmoja asimpunje mwingine, bali utamcha Mungu wako. Mimi ndimi Bwana Mungu wako.
19Kisha nchi itazaa matunda yake, nanyi mtakula na kushiba na kuishi humo kwa salama.
Cross References
Leviticus 19:37“ ‘Shika amri zangu zote na sheria zangu zote, nawe uzifuate. Mimi ndimi Bwana.’ ”
Leviticus 26:6“ ‘Nitawapa amani katika nchi, mpate kulala pasipo kutiwa hofu na yeyote. Nitawaondoa wanyama wakali watoke kwenye nchi, nao upanga hautapita katika nchi yenu.
Deuteronomy 28:1Kama ukimtii Bwana Mungu wako kwa bidii na kufuata amri zake zote ninazokupa leo kwa bidii, Bwana Mungu wako atakuweka juu ya mataifa yote katika dunia.
Deuteronomy 33:28Hivyo Israeli ataishi salama peke yake. 2 Mzao wa Yakobo ni salama 1 katika nchi ya nafaka na divai mpya, 2 mahali ambapo mbingu 2 hudondosha umande. 1
Psalms 4:8Nitajilaza chini na kulala kwa amani, 2 kwa kuwa wewe peke yako, Ee Bwana, 2 waniwezesha kukaa kwa salama.
Proverbs 1:33Lakini yeyote anisikilizaye ataishi kwa usalama, 2 atatulia, bila kuwa na hofu ya madhara.”