Proverbs 1:33
Lakini yeyote anisikilizaye ataishi kwa usalama, 2 atatulia, bila kuwa na hofu ya madhara.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
But whoso hearkeneth unto me shall dwell safely, and shall be quiet from fear of evil.
In Context
32Kwa kuwa ukaidi wa wajinga utawaua, 2 nako kuridhika kwa wajinga kutawaangamiza. 1
Cross References
Leviticus 25:19Kisha nchi itazaa matunda yake, nanyi mtakula na kushiba na kuishi humo kwa salama.
Psalms 25:12Ni nani basi, mtu yule anayemcha Bwana? 2 Atamfundisha katika njia 2 atakayoichagua kwa ajili yake. 1
Psalms 112:7Hataogopa habari mbaya, 2 moyo wake ni thabiti, ukimtegemea Bwana. 1
Proverbs 8:32“Basi sasa wanangu, nisikilizeni; 2 heri wale wanaozishika njia zangu. 1
Proverbs 14:26Yeye amchaye Bwana ana ngome salama, 2 na kwa watoto wake itakuwa kimbilio. 1
Isaiah 32:17Matunda ya haki yatakuwa amani, 2 matokeo ya haki yatakuwa utulivu 2 na matumaini milele. 1