Zaburi 39:12
“Ee Bwana, usikie maombi yangu, 2 usikie kilio changu unisaidie, 2 usiwe kiziwi kwa kulia kwangu. 1 Kwani mimi ninaishi na wewe kama mgeni, 2 kama walivyokuwa baba zangu wote, 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
13Tazama mbali nami, ili niweze kufurahi tena 2 kabla sijaondoka na nisiwepo tena.”
Cross References
Genesis 21:34Naye Abrahamu akakaa katika nchi ya Wafilisti kwa muda mrefu.
Leviticus 25:23“ ‘Kamwe ardhi isiuzwe kwa mkataba wa kudumu, kwa sababu nchi ni mali yangu, nanyi ni wageni na wapangaji wangu.
2 Kings 20:5“Rudi ukamwambie Hezekia, kiongozi wa watu wangu, ‘Hili ndilo asemalo Bwana, Mungu wa baba yako Daudi: Nimeyasikia maombi yako na nimeona machozi yako; nitakuponya. Siku ya tatu kuanzia sasa utapanda kwenda Hekalu la Bwana.
Job 13:28“Hivyo mwanadamu huangamia kama kitu kilichooza, 2 kama vazi lililoliwa na nondo.
Psalms 56:8Andika maombolezo yangu, 2 orodhesha machozi yangu katika gombo lako: 2 je, haya hayapo katika kumbukumbu zako? 1
Psalms 102:1Ee Bwana, usikie maombi yangu, 2 kilio changu cha kuomba msaada kikufikie. 1