Proverbs 1:7
Kumcha Bwana ndicho chanzo cha maarifa, 2 lakini wapumbavu hudharau hekima na adabu. 1 Onyo Dhidi Ya Ushawishi Wa Marafiki Waovu 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
The fear of the LORD is the beginning of knowledge: but fools despise wisdom and instruction.
In Context
6kwa kufahamu mithali na mifano, 2 misemo na vitendawili vya wenye hekima. 1
8Mwanangu, sikiliza mwongozo wa baba yako, 2 wala usiyaache mafundisho ya mama yako. 1
Cross References
Psalms 111:10Kumcha Bwana ndicho chanzo cha hekima, 2 wote wanaozifuata amri zake wana busara. 2 Sifa zake zadumu milele.
Proverbs 1:29Kwa kuwa walichukia maarifa, 2 wala hawakuchagua kumcha Bwana, 1
Proverbs 9:10“Kumcha Bwana ndicho chanzo cha hekima, 2 na kumjua Aliye Mtakatifu ni ufahamu. 1
Proverbs 15:33Kumcha Bwana humfundisha mtu hekima, 2 nao unyenyekevu huja kabla ya heshima.
Ecclesiastes 12:13Hii ndiyo jumla ya maneno; 2 yote yamekwisha sikiwa: 1 Mche Mungu, nawe uzishike amri zake, 2 maana kwa jumla ndiyo impasayo mtu. 1
Romans 1:28Nao kwa kuwa hawakuona umuhimu wa kudumisha ufahamu wa Mungu, yeye akawaachilia wafuate akili za upotovu, watende mambo yale yasiyostahili kutendwa.