Walawi 26:18
“ ‘Kama baada ya haya yote hamtanisikiliza, nitawaadhibu mara saba zaidi kwa ajili ya dhambi zenu.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Exodus 9:14au wakati huu nitaleta mapigo yangu yenye nguvu dhidi yako, maafisa wako na watu wako, ili upate kujua kuwa hakuna mwingine kama Mimi katika dunia yote.
Leviticus 26:24mimi mwenyewe nitaweka uadui nanyi, na kuwatesa kwa ajili ya dhambi zenu mara saba zaidi.
1 Samuel 2:5Wale waliokuwa na chakula tele wamejikodisha wenyewe 2 ili kupata chakula, 1 lakini wale waliokuwa na njaa 2 hawana njaa tena. 1 Mwanamke yule aliyekuwa tasa 2 amezaa watoto saba, 1 lakini yule ambaye alikuwa na wana wengi 2 amedhoofika. 1
Proverbs 24:16Kwa maana ingawa mtu mwenye haki huanguka mara saba, huinuka tena, 2 lakini waovu huangushwa chini na maafa. 1
Jeremiah 14:4Ardhi imepasuka nyufa 2 kwa sababu hakuna mvua katika nchi; 1 wakulima wana hofu 2 na wanafunika vichwa vyao. 1