The Bible Software
bible.software1 Samweli1 Samweli 2 › 1 Samweli 2:5

1 Samweli 2:5

Wale waliokuwa na chakula tele wamejikodisha wenyewe 2 ili kupata chakula, 1 lakini wale waliokuwa na njaa 2 hawana njaa tena. 1 Mwanamke yule aliyekuwa tasa 2 amezaa watoto saba, 1 lakini yule ambaye alikuwa na wana wengi 2 amedhoofika. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

They that were full have hired out themselves for bread; and they that were hungry ceased: so that the barren hath born seven; and she that hath many children is waxed feeble.

In Context

4“Pinde za mashujaa zimevunjika, 2 lakini wale wanaojikwaa wamevikwa nguvu. 1

6“ Bwana huua na huleta uhai, 2 hushusha chini mpaka kaburini + 2:6 Kaburini hapa maana yake ni Kuzimu, kwa Kiebrania ni Sheol. na hufufua. 1

Read all of 1 Samweli 2

Cross References

1 Samuel 1:20Hivyo wakati ulipotimia, Hana akapata mimba na akamzaa mwana. Hana akamwita jina lake Samweli, akasema, “Kwa kuwa nilimwomba kwa Bwana.” 1 Hana Anamweka Samweli Wakfu

Psalms 113:9Humjalia mwanamke tasa kutulia nyumbani mwake, 2 akiwa mama watoto mwenye furaha. 1 Msifuni Bwana.

Jeremiah 15:9Mama mwenye watoto saba atazimia 2 na kupumua pumzi yake ya mwisho. 1 Jua lake litatua kungali bado mchana, 2 atatahayarika na kufedheheka. 1 Wale wote waliobaki nitawaua kwa upanga 2 mbele ya adui zao,” 4 asema Bwana. 1

Luke 16:25“Lakini Abrahamu akamjibu, ‘Mwanangu, kumbuka kwamba wakati wa uhai wako ulipata mambo mazuri, lakini Lazaro alipata mambo mabaya. Lakini sasa anafarijiwa hapa na wewe uko katika maumivu makuu.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study 1 Samweli 2:5

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← 1 Samweli 2:41 Samweli 21 Samweli 2:6 →