Leviticus 7:8
Kuhani anayetoa sadaka ya kuteketezwa kwa ajili ya mtu yeyote anaweza kuichukua ngozi ya mnyama yule aliyetolewa iwe yake.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Genesis 3:21Bwana Mungu akawatengenezea Adamu na mkewe mavazi ya ngozi, akawavika.
Leviticus 1:6Ataichuna hiyo sadaka ya kuteketezwa na kuikata vipande vipande.
Numbers 19:5Wakati angali akitazama, mtamba huyo atateketezwa: ngozi yake, nyama yake, damu na sehemu zake za ndani.
Romans 13:14Bali jivikeni Bwana Yesu Kristo, wala msifikiri jinsi mtakavyotimiza tamaa za miili yenu yenye asili ya dhambi.