Luke 1:4
ili upate kujua ukweli kuhusu yale uliyofundishwa. 1 Kuzaliwa Kwa Yohana Mbatizaji Kwatabiriwa
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
That thou mightest know the certainty of those things, wherein thou hast been instructed.
In Context
Cross References
Acts 18:25Alikuwa amefundishwa katika njia ya Bwana, naye alikuwa na bidii katika roho, akafundisha kwa usahihi juu ya Yesu, ingawa alijua tu ubatizo wa Yohana.
1 Corinthians 14:19Lakini ndani ya kanisa ni afadhali niseme maneno matano ya kueleweka ili niwafundishe wengine kuliko kusema maneno 10,000 kwa lugha.
2 Peter 1:15Nami nitafanya kila juhudi kuona kwamba baada ya kuondoka kwangu mtaweza kuyakumbuka mambo haya siku zote.