The Bible Software
bible.softwareLukeLuke 1 › Luke 1:52

Luke 1:52

Amewashusha watawala toka kwenye viti vyao vya enzi, 2 lakini amewainua wanyenyekevu. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

He hath put down the mighty from their seats, and exalted them of low degree.

In Context

51Kwa kuwa ametenda mambo ya ajabu kwa mkono wake; 2 amewatawanya wale wenye kiburi 2 ndani ya mioyo yao. 1

53Amewashibisha wenye njaa kwa vitu vizuri, 2 bali matajiri amewafukuza mikono mitupu. 1

Read all of Luke 1

Cross References

1 Samuel 2:4“Pinde za mashujaa zimevunjika, 2 lakini wale wanaojikwaa wamevikwa nguvu. 1

Job 5:11Huwainua juu wanyonge, 2 nao wale waombolezao huinuliwa wakawa salama. 1

Psalms 107:40Yeye ambaye huwamwagia dharau wakuu, 2 aliwafanya watangetange nyikani isiyo na njia. 1

Ecclesiastes 4:14Kijana huyo angeweza kutokea gerezani akapata ufalme, au angeweza kuwa amezaliwa katika umaskini kwenye huo ufalme.

Amos 9:11“Katika siku ile nitaisimamisha 2 hema ya Daudi iliyoanguka. 1 Nitakarabati mahali palipobomoka 2 na kujenga upya magofu yake, 2 na kuijenga kama ilivyokuwa awali, 1

Luke 18:14“Nawaambia, huyu mtoza ushuru alirudi nyumbani akiwa amehesabiwa haki mbele za Mungu zaidi ya yule Farisayo. Kwa maana yeyote ajikwezaye atashushwa, na yeyote ajishushaye atakwezwa.” 1 Yesu Awabariki Watoto Wadogo (Mathayo 19:13-15; Marko 10:13-16)

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Luke 1:52

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesThe Fourfold GospelJohn LightfootGeneva Bible Notes (1599)
← Luke 1:51Luke 1Luke 1:53 →