Luke 1:71
kwamba atatuokoa kutoka kwa adui zetu, 2 na kutoka mikononi mwao wote watuchukiao: 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
That we should be saved from our enemies, and from the hand of all that hate us;
In Context
70kama alivyonena kwa vinywa vya manabii 2 wake watakatifu tangu zamani, 1
72ili kuonyesha rehema kwa baba zetu 2 na kukumbuka Agano lake takatifu, 1
Cross References
Deuteronomy 33:29Ee Israeli, wewe umebarikiwa! 2 Ni nani kama wewe, 2 taifa lililookolewa na Bwana? 1 Yeye ni ngao yako na msaada wako, 2 na upanga wako uliotukuka. 1 Adui zako watatetemeka mbele yako, 2 nawe utapakanyaga 2 mahali pao pa juu.” + 33:29 Utapakanyaga mahali pao pa juu maana yake mtakanyaga juu ya miili yao.
Psalms 106:10Aliwaokoa mikononi mwa adui; 2 kutoka mikononi mwa adui aliwakomboa. 1
Isaiah 14:1Bwana atamhurumia Yakobo, 2 atamchagua Israeli tena, 2 na kuwakalisha katika nchi yao wenyewe. 1 Wageni wataungana nao 2 na kujiunga na nyumba ya Yakobo. 1
Isaiah 54:7“Kwa kitambo kidogo nilikuacha, 2 lakini kwa huruma nyingi nitakurudisha. 1
Jeremiah 30:9Badala yake, watamtumikia Bwana, Mungu wao 2 na Daudi mfalme wao, 2 nitakayemwinua kwa ajili yao. 1
Ezekiel 28:26Wataishi humo kwa salama na watajenga nyumba na kupanda mashamba ya mizabibu, wataishi kwa salama nitakapowaadhibu majirani zao wote ambao waliwafanyia uovu. Ndipo watakapojua kwamba Mimi ndimi Bwana, Mungu wao.’ ”