Luke 1:73
kiapo alichomwapia baba yetu Abrahamu: 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
The oath which he sware to our father Abraham,
In Context
72ili kuonyesha rehema kwa baba zetu 2 na kukumbuka Agano lake takatifu, 1
74kutuokoa kutoka mikononi mwa adui zetu, 2 tupate kumtumikia yeye pasipo hofu 1
Cross References
Genesis 24:7Bwana, Mungu wa mbingu, aliyenitoa nyumbani kwa baba yangu na nchi yangu niliyozaliwa na aliyesema nami na akaniahidi kwa kiapo, akisema, ‘Nitawapa watoto wako nchi hii,’ atatuma malaika wake akutangulie ili umpatie mwanangu mke kutoka huko.
Deuteronomy 7:8Lakini ni kwa sababu Bwana aliwapenda ninyi na kutunza kiapo alichowaapia babu zenu kwamba atawatoa ninyi kwa mkono wenye nguvu na kuwakomboa kutoka nchi ya utumwa, kutoka nguvu za Farao mfalme wa Misri.
Psalms 105:9agano alilolifanya na Abrahamu, 2 kiapo alichomwapia Isaki. 1
Hebrews 6:13Mungu alipompa Abrahamu ahadi yake, kwa kuwa hakuwepo mwingine aliyekuwa mkuu kuliko yeye ambaye angeweza kuapa kwa jina lake, aliapa kwa nafsi yake,