Luke 1:75
katika utakatifu na haki mbele zake, 2 siku zetu zote. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In holiness and righteousness before him, all the days of our life.
In Context
74kutuokoa kutoka mikononi mwa adui zetu, 2 tupate kumtumikia yeye pasipo hofu 1
Cross References
Deuteronomy 6:2ili kwamba ninyi, watoto wenu na watoto wao baada yao wamche Bwana Mungu wenu siku zote kwa kushika amri na maagizo yake yote ninayowapa, ili mweze kuyafurahia maisha marefu.
Jeremiah 31:33“Hili ndilo agano nitakalofanya na nyumba ya Israeli 2 baada ya siku zile,” asema Bwana. 1 “Nitaweka sheria yangu katika nia zao, 2 na kuiandika mioyoni mwao. 1 Nitakuwa Mungu wao, 2 nao watakuwa watu wangu. 1
Ezekiel 36:24“ ‘Kwa kuwa nitawaondoa ninyi toka mataifa, nitawakusanya kutoka nchi zote na kuwarudisha kwenye nchi yenu wenyewe.
Ephesians 1:4Kwa maana alituchagua katika yeye kabla ya kuumbwa ulimwengu ili tuwe watakatifu na bila lawama mbele zake. Kwa upendo
Ephesians 4:24mkajivike utu mpya, ulioumbwa sawasawa na mfano wa Mungu katika haki yote na utakatifu. 1 Kanuni Za Maisha Mapya
1 Thessalonians 4:7Kwa maana Mungu hakutuitia uchafu, bali utakatifu.