Luka 10:26
Yesu akamjibu, “Imeandikwaje katika Sheria? Kwani unasoma nini humo?”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
He said unto him, What is written in the law? how readest thou?
In Context
Cross References
Romans 3:19Basi tunajua ya kwamba chochote sheria inachosema, inawaambia wale walio chini ya sheria ili kila kinywa kinyamazishwe na ulimwengu wote uwajibike kwa Mungu.
Romans 10:5Mose anaandika kuhusu haki ile itokanayo na sheria, kwamba, “Mtu atendaye matendo hayo ataishi kwa hayo.”
Galatians 3:21Je basi, sheria inapingana na ahadi za Mungu? La hasha! Kwa maana kama sheria iliyotolewa ingeweza kuwapa watu uzima, basi haki ingepatikana kwa njia ya sheria.