The Bible Software
bible.softwareLukaLuka 12 › Luka 12:43

Luka 12:43

Heri mtumishi yule ambaye bwana wake atakaporudi atamkuta akifanya hivyo.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Blessed is that servant, whom his lord when he cometh shall find so doing.

In Context

42Yesu akamjibu, “Ni yupi basi wakili mwaminifu na mwenye busara, ambaye bwana wake atamfanya msimamizi juu ya watumishi wake wote, ili awape watumishi wengine chakula chao wakati unaofaa?

44Amin nawaambia, atamweka mtumishi huyo kuwa msimamizi wa mali yake yote.

Read all of Luka 12

Cross References

Proverbs 27:18Yeye autunzaye mtini atakula tunda lake, 2 naye amtunzaye bwana wake ataheshimiwa. 1

Matthew 24:46Heri mtumishi yule ambaye bwana wake atakaporudi atamkuta akifanya hivyo.

2 Peter 3:14Kwa sababu hii, wapenzi, kwa kuwa mnatazamia mambo haya, fanyeni bidii ili awakute katika amani, bila mawaa wala dosari.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Luka 12:43

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesThe Fourfold GospelJohn LightfootGeneva Bible Notes (1599)
← Luka 12:42Luka 12Luka 12:44 →