Luke 12:45
Lakini kama yule mtumishi atasema moyoni mwake, ‘Bwana wangu anakawia kurudi,’ kisha akaanza kuwapiga wale watumishi wa kiume na wa kike, na kula na kunywa na kulewa.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
44Amin nawaambia, atamweka mtumishi huyo kuwa msimamizi wa mali yake yote.
Cross References
Job 24:23Aweza akawaacha wakapumzika wakijihisi salama, 2 lakini macho yake yanaona njia zao. 1
Isaiah 65:6“Tazama, jambo hili hubakia limeandikwa mbele zangu: 2 sitanyamaza, bali nitalipiza kwa ukamilifu; 2 nitalipiza mapajani mwao: 1
Ezekiel 12:22“Mwanadamu, ni nini hii mithali mlio nayo katika nchi ya Israeli: ‘Siku zinapita na hakuna maono yoyote yanayotimia?’
Ezekiel 34:3Mnakula mafuta ya wanyama, mnavaa mavazi ya sufu na kuchinja kondoo walionona, lakini hamlitunzi kundi.
Matthew 22:6Wengine wao wakawakamata wale watumishi wake, wakawatesa na kuwaua.
Romans 16:18Kwa maana watu kama hao hawamtumikii Bwana Kristo, bali wanatumikia tamaa zao wenyewe. Kwa kutumia maneno laini na ya kubembeleza, hupotosha mioyo ya watu wajinga.