Luke 12:46
Basi bwana wa mtumishi huyo atakuja siku asiyodhani na saa asiyoijua. Atamkata vipande vipande na kumweka katika sehemu moja pamoja na wale wasioamini.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Psalms 11:5Bwana huwajaribu wenye haki, 2 lakini waovu na wanaopenda jeuri, 2 nafsi yake huwachukia. 1
Psalms 94:14Kwa kuwa Bwana hatawakataa watu wake, 2 hatauacha urithi wake. 1
Matthew 13:41Mwana wa Adamu atawatuma malaika zake, nao watakusanya kutoka Ufalme wake kila kitu kinachosababisha dhambi na watenda maovu wote.
Matthew 24:51Atamkata vipande vipande na kumweka katika sehemu moja pamoja na wanafiki, mahali ambako kutakuwa ni kulia na kusaga meno.
Luke 12:40Ninyi nanyi hamna budi kuwa tayari, kwa sababu Mwana wa Adamu atakuja saa msiyotazamia.” 1 Mtumishi Mwaminifu Na Yule Asiye Mwaminifu (Mathayo 24:45-51)