Luke 12:40
Ninyi nanyi hamna budi kuwa tayari, kwa sababu Mwana wa Adamu atakuja saa msiyotazamia.” 1 Mtumishi Mwaminifu Na Yule Asiye Mwaminifu (Mathayo 24:45-51)
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Be ye therefore ready also: for the Son of man cometh at an hour when ye think not.
In Context
41Ndipo Petro akamuuliza, “Bwana, mfano huu unatuambia sisi peke yetu au watu wote?”
Cross References
Matthew 24:42“Basi kesheni, kwa sababu hamjui ni siku gani atakapokuja Bwana wenu.
Matthew 25:13“Kwa hiyo kesheni, kwa sababu hamjui siku wala saa. 1 Mfano Wa Watumishi Watatu Na Talanta (Luka 19:11-27)
Luke 21:34“Jihadharini mioyo yenu isije ikalemewa na anasa, ulevi na fadhaa za maisha haya, nayo siku ile ikawakuta ninyi bila kutazamia kama vile mtego unasavyo.
Romans 13:14Bali jivikeni Bwana Yesu Kristo, wala msifikiri jinsi mtakavyotimiza tamaa za miili yenu yenye asili ya dhambi.
2 Peter 3:12mkingojea na kuhimiza kuja kwa hiyo siku ya Mungu. Siku hiyo italeta mbingu kuchomwa moto na kutoweka, na vitu vya asili vitayeyuka kwa moto.