The Bible Software
bible.softwareLukeLuke 13 › Luke 13:9

Luke 13:9

Kama ukizaa matunda mwaka ujao, vyema, la sivyo uukate.’ ” 1 Yesu Amponya Mwanamke Kilema Siku Ya Sabato

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And if it bear fruit, well: and if not, then after that thou shalt cut it down.

In Context

8“Yule mtunza shamba akamjibu, ‘Bwana, uache tena kwa mwaka mmoja zaidi, nami nitaupalilia na kuuwekea mbolea.

10Basi Yesu alikuwa akifundisha katika sinagogi mojawapo siku ya Sabato.

Read all of Luke 13

Cross References

Ezra 9:14Je, tutavunja maagizo yako tena na kuoana na watu ambao hufanya mambo ya machukizo? Je, hutakuwa na hasira ya kutosha juu yetu na kutuangamiza, bila kutuachia mabaki wala atakayenusurika?

Daniel 9:5tumetenda dhambi na kufanya mabaya. Tumekuwa waovu na tumeasi; tumegeuka mbali na maagizo yako na sheria zako.

1 Thessalonians 2:15wale waliomuua Bwana Yesu na manabii, nasi wakatufukuza pia. Watu hao walimchukiza Mungu na tena ni adui wa watu wote,

Revelation 15:3Nao wakaimba wimbo wa Mose, mtumishi wa Mungu, na wimbo wa Mwana-Kondoo, wakisema: 1 “ Bwana Mungu Mwenyezi, 2 matendo yako ni makuu na ya ajabu. 1 Njia zako wewe ni za haki na za kweli, 2 Mfalme wa nyakati zote! 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Luke 13:9

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesThe Fourfold GospelJohn LightfootGeneva Bible Notes (1599)
← Luke 13:8Luke 13Luke 13:10 →