The Bible Software
bible.softwareLukeLuke 13 › Luke 13:12

Luke 13:12

Yesu alipomwona, akamwita, akamwambia, “Mwanamke, uwe huru, umepona ugonjwa wako.”

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And when Jesus saw her, he called her to him, and said unto her, Woman, thou art loosed from thine infirmity.

In Context

11Wakati huo huo akaja mwanamke mmoja aliyekuwa na pepo mchafu, naye alikuwa amepinda mgongo kwa muda wa miaka kumi na minane, wala alikuwa hawezi kunyooka wima.

13Yesu alipomwekea mikono yake, mara akasimama wima akaanza kumtukuza Mungu.

Read all of Luke 13

Cross References

Psalms 107:20Akalituma neno lake na kuwaponya, 2 akawaokoa kutoka maangamizo yao. 1

Joel 3:10Majembe yenu yafueni yawe panga 2 na miundu yenu ya kukatia iwe mikuki. 1 Aliye dhaifu na aseme, 2 “Mimi nina nguvu!” 1

Luke 6:8Lakini Yesu alijua mawazo yao, hivyo akamwambia yule mwenye mkono uliopooza, “Inuka usimame mbele ya watu wote.” Hivyo yule mtu akainuka, akasimama mbele yao wote.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Luke 13:12

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesThe Fourfold GospelJohn LightfootGeneva Bible Notes (1599)
← Luke 13:11Luke 13Luke 13:13 →