Luke 14:32
Kama hawezi, basi wakati yule mwingine akiwa bado yuko mbali, yeye hutuma ujumbe wa watu na kuomba masharti ya amani.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
1 Kings 20:31Maafisa wake wakamwambia, “Tazama, tumesikia kwamba wafalme wa nyumba ya Israeli wana huruma. Twendeni kwa mfalme wa Israeli tukiwa tumevaa nguo za gunia viunoni mwetu na kamba kuzunguka vichwa vyetu. Huenda akakuacha hai.”
Job 40:9Je, una mkono kama wa Mungu, 2 nawe waweza kutoa sauti ya ngurumo kama yake? 1
Luke 12:58Uwapo njiani na mshtaki wako kwenda kwa hakimu, jitahidi kupatana naye mkiwa njiani. La sivyo, atakupeleka kwa hakimu, naye hakimu atakukabidhi kwa afisa, naye afisa atakutupa gerezani.
James 4:6Lakini yeye hutupatia neema zaidi. Hii ndiyo sababu Andiko husema: 1 “Mungu huwapinga wenye kiburi, 2 lakini huwapa wanyenyekevu neema.”