Luka 14:33
Vivyo hivyo, yeyote miongoni mwenu ambaye hawezi kuacha vyote alivyo navyo, hawezi kuwa mwanafunzi wangu. 1 Chumvi Isiyofaa (Mathayo 5:13; Marko 9:50)
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
So likewise, whosoever he be of you that forsaketh not all that he hath, he cannot be my disciple.
In Context
34“Chumvi ni nzuri, lakini chumvi ikiwa imepoteza ladha yake, itafanywaje ili iweze kukolea tena?
Cross References
Luke 5:28Naye Lawi akaacha kila kitu, akaondoka, akamfuata.
Luke 18:22Yesu aliposikia haya, akamwambia, “Bado kuna jambo moja ulilopungukiwa. Nenda ukauze kila kitu ulicho nacho, uwape maskini, nawe utakuwa na hazina mbinguni. Kisha njoo, unifuate.”
Acts 5:1Lakini mtu mmoja jina lake Anania pamoja na mkewe Safira waliuza kiwanja.
Philippians 3:7Lakini mambo yale yaliyokuwa faida kwangu, sasa nayahesabu kuwa hasara kwa ajili ya Kristo.
1 John 2:15Msiupende ulimwengu wala mambo yaliyo ulimwenguni. Kama mtu yeyote akiupenda ulimwengu, upendo wa Baba haumo ndani yake.