Luka 14:34
“Chumvi ni nzuri, lakini chumvi ikiwa imepoteza ladha yake, itafanywaje ili iweze kukolea tena?
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Salt is good: but if the salt have lost his savour, wherewith shall it be seasoned?
In Context
35Haifai ardhi wala kwa lundo la mbolea, bali hutupwa nje. “Mwenye masikio ya kusikia, na asikie.”
Cross References
Mark 9:49Kila mmoja atatiwa chumvi kwa moto.
Hebrews 2:4Pia Mungu aliushuhudia kwa ishara, maajabu na kwa miujiza mbalimbali, na karama za Roho Mtakatifu alizozigawa kulingana na mapenzi yake. 1 Yesu Alifananishwa Na Ndugu Zake