Luke 15:32
Lakini ilitubidi tufurahi na kushangilia kwa sababu huyu ndugu yako alikuwa amekufa na sasa yu hai; alikuwa amepotea naye amepatikana.’ ”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
31“Baba yake akamjibu, ‘Mwanangu, umekuwa nami siku zote na vyote nilivyo navyo ni vyako.
Cross References
Isaiah 35:10waliokombolewa na Bwana watarudi. 1 Wataingia Sayuni wakiimba; 2 furaha ya milele itakuwa juu ya vichwa vyao. 1 Watapata furaha na shangwe; 2 huzuni na majonzi vitakimbia.
Jonah 4:10Lakini Bwana akamwambia, “Wewe unakasirika kwa ajili ya mzabibu huu, nawe hukuusababisha kuota wala kuutunza. Uliota usiku mmoja, nao ukafa usiku mmoja.
Luke 7:34Mwana wa Adamu alikuja akila na kunywa, nanyi mnasema: ‘Tazameni huyu mlafi na mlevi, rafiki wa watoza ushuru na “wenye dhambi.” ’
Romans 3:4La hasha! Mungu na aonekane mwenye haki, na kila mwanadamu kuwa mwongo, kama ilivyoandikwa: 1 “Ili uthibitike kuwa wa kweli unaponena, 2 na ukashinde utoapo hukumu.”
Romans 15:9pia ili watu wa Mataifa wamtukuze Mungu kwa rehema zake. Kama ilivyoandikwa: 1 “Kwa hiyo nitakutukuza katikati ya watu wa Mataifa; 2 nitaliimbia sifa jina lako.”