Luke 17:16
Akajitupa miguuni mwa Yesu akamshukuru. Yeye alikuwa Msamaria.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And fell down on his face at his feet, giving him thanks: and he was a Samaritan.
In Context
15Mmoja wao alipoona kwamba amepona, akarudi kwa Yesu, akimsifu Mungu kwa sauti kuu.
17Yesu akauliza, “Je, hawakutakaswa wote kumi? Wako wapi wale wengine tisa?
Cross References
Genesis 17:3Abramu akaanguka kifudifudi, naye Mungu akamwambia,
Matthew 10:5Hawa kumi na wawili, Yesu aliwatuma akawaagiza: “Msiende miongoni mwa watu wa Mataifa, wala msiingie mji wowote wa Wasamaria.
Luke 5:8Simoni Petro alipoona haya yaliyotukia, alianguka miguuni mwa Yesu na kumwambia, “Bwana, ondoka kwangu. Mimi ni mtu mwenye dhambi!”
Luke 10:32Vivyo hivyo, Mlawi mmoja naye alipofika mahali pale, alimwona, akapita upande mwingine, akamwacha hapo barabarani
John 4:21Yesu akamjibu, “Mwanamke, niamini, wakati unakuja ambapo hamtamwabudu Baba katika mlima huu, wala huko Yerusalemu.
John 5:23ili wote wamheshimu Mwana kama vile wanavyomheshimu Baba. Yeyote asiyemheshimu Mwana, hamheshimu Baba aliyemtuma.