Luka 17:19
Yesu akamwambia, “Inuka na uende zako, imani yako imekuponya.” 1 Kuja Kwa Ufalme Wa Mungu (Mathayo 24:23-28, 37-41)
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And he said unto him, Arise, go thy way: thy faith hath made thee whole.
In Context
18Hakuna hata mmoja aliyeonekana kurudi ili kumshukuru Mungu isipokuwa huyu mgeni?”
Cross References
Mark 5:34Yesu akamwambia, “Binti, imani yako imekuponya. Nenda kwa amani, upone kabisa ugonjwa wako.” 1 Yesu Amfufua Binti Yairo
Luke 7:50Yesu akamwambia yule mwanamke, “Imani yako imekuokoa; nenda kwa amani.”
Luke 18:42Yesu akamwambia, “Basi upate kuona. Imani yako imekuponya.”