Luke 17:3
Kwa hiyo, jilindeni. “Kama ndugu yako akikukosea mwonye, naye akitubu, msamehe.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Leviticus 19:17“ ‘Usimchukie ndugu yako moyoni mwako. Karipia jirani yako kwa uwazi ili usishiriki hatia yake.
Deuteronomy 4:15Hamkuona umbo la aina yoyote siku ambayo Bwana alizungumza nanyi kule Horebu kutoka kwenye moto. Kwa hiyo mjihadhari kwa uangalifu sana,
2 Chronicles 19:6Akawaambia, “Angalieni kwa makini yale mtendayo, kwa kuwa hamkuhukumu kwa ajili ya mwanadamu bali kwa ajili ya Bwana ambaye yu pamoja nanyi kila mtoapo hukumu.
Proverbs 9:8Usimkemee mwenye mzaha la sivyo atakuchukia; 2 mkemee mwenye hekima naye atakupenda. 1
Proverbs 27:5Afadhali karipio la wazi 2 kuliko upendo uliofichika. 1
Matthew 18:21Ndipo Petro akamjia Yesu na kumuuliza, “Bwana, ndugu yangu anikosee mara ngapi nami nimsamehe? Je, hata mara saba?”